Random training videos

@Jazzman kuja hapa kiasi.
Hii training ni ya kikosi kipi/vipi?

https://www.youtube.com/watch?v=aW_Qh2onWyA

British Army training in Kenya, pale Archers post

https://www.youtube.com/watch?v=B9MasGFTqi8

And finally (i just had to add this), a photo compilation of KDF’s hardware and combat units in action. I suspect it must have been compiled by Jazzmundu; there’s alot of similarities to his ‘KDF in pictures’ segment

https://www.youtube.com/watch?v=uzyfBBYF1Dk

Video ya kwanza ni GSU. VIP security na wale wazito huwa wamezunguka uhunye na rutodeh

Hao 12,000 troops wa brito wenye hupitia huku pia kuna SF ndani. Bro ako 16th air assault brigade ya huko na ni special forces support group lakini lazma apitie mtaani na hayuko leave saa hiyo

Ya tatu huyo sio mimi lakini itakuwa mimi soon. Nangoja wajibu email niliwatumia