Random chick

Nimezoea kuapproach face to face ama niende tinder ama tagged ,Sijawai patana na huyu face to face .
Nataka kukula,nilipewa number yake na one of her close friends but hataki kukua disclosed juu watakosana mnipee ideas ya ku initiate juu najua ataniuliza nilitoa number wapi na staki ku disclose and I know ata sema haongeangi na strangers.

U

M

M

Mwambie umepata kwa yellow pages

Inbox number, nikufanyie Research.
:D:D:D

E

Mtumie 5k then umemshow umetuma kibahati mbaya akae nayo but utamtafta

Wisdom.

SIMP!

Hiyo 5k heri ni bet nayo game ya kesho

whoever edited this photo is a legend.:D:D:D

Wekea yeye thao basi

inbox number, nikufanyie ile kitu (sample), then introduce you kama nimesample

Mtxt umshow ulipata number yake kwa Nairobi hot… 90% chances ako kwa hiyo site

:smiley: na kama hayuko?

Offer money staight up…na hii economy hakawezi kataa