RAIS WA ZIMBAMBWE AKOSWA NA BOMU HALI YA TAHARUKI JIJINI HARARE.

Siku mbaya kwa taifa na wanainchi wa zimbabwe kwa mkuu wa nchi kufanyiwa jaribio la kuuawa.
Tetesi tayri mzee baba mgabe yuko kizuizini katika kambi ya kijeshi.
Huku mkewe akitafutwa kwa galama yyte.
Nimeambatanisha Na videoclip ya mlipuko wa bomu hapo chini.

majenerali wanatafuta sababu ya kuchukua nchi

Hali ni tete kwa sasa.msako ni mkubwa mno

Kumekucha Africa

Mugabe hatari sana!!

hv uchaguz si upo krbu…! na huyu si ndo juzi kapanga foleni kwa mgahawa kupata lunch…
yajayo yanafurahisha

Mkuu unaweza kubadili hii avatar yako?

Mz

ee wa mipango

Nikweli kabisa mzee baba anapunguza upinzane mapema

Hapo kiongozi hiyo details ya Rais ndio awe wa kwanza kuchunguzwa ni uzembe mkubwa sana huo sioni adhabu zaidi ya kumpa hapo

Ntafanya ivyo mkuu

[quote=“Gideone, post:10, topic:164666”]

Hapo kiongozi hiyo details ya Rais ndio awe wa kwanza kuchunguzwa ni uzembe mkubwa sana huo sioni adhabu zaidi ya kumpa hapo
[/QUOTE
Anatakiwa akamatwe nae pia!! Kwa hili[/QUOTE]

African politics

Yes!!!

Nmecheka mpaka walinzi wenye mabunduki wametoka nduki chezea kifo!!!

Amepona lkn kma limepiga eneo alipo!!

Nao wana moyo kama sisi tu!! Kifo nouma

jiwe ajiangalie… atapata tabu sana

Tena sanaaaaa ajiangalie sms sent

Yuko salama na mwenye afya.