Rais wa Zimbabwe Mh.Mnangwanda kuwasili kesho nchini kwa ziara ya siku Mbili.

Yaani hapo ukitaka kuwafurahisha bavicha wambie Rais wa Zimbabwe kamfuata mbowe; watamsifu mpaka asubuhi.

Huku sio pa kujifunza jambo lolote jema, labda kama nae anataka kujifunza ya kupoteza watu na kuwaweka kwenye viroba

Huyu si ni dikiteita, amempindua mwenzake. Ukweli unabaki kuwa alimpindua Mugabe pamoja na mapungufu ya Mugabe. Madikiteita wanakutana! Only International community especially USA and Europe itainusuru Africa na haya madikiteita

wazee wa fitina wanataka kumpa mikakati ya bao la mkono

Duuuuuu Aise

Naona ameshaingia kwenye anga ya Tanzania Boeing yake 767-2DX(ER) sasa hivi inavuka mto Rufiji. Karibu Mr. President

[SIZE=7]Bao la Mkono[/SIZE]

Anaweza kua kaja kumkodi RPC wa dodoma, mpaka uchaguzi utapo kwisha.

Mafunzo 1: Jinsi ya kushughulikia wapinzani 2. Jinsi ya kuzika watu baharini hasa wale wanaopinga hovyo 3. Jinsi ya kueliminate kinara anayepinga sana. 4 Jinsi ya kuhakikisha unakomesha sauti zenye hoja mbadala hadi zidumu fikra zako.

Leo asubuhi kaelekea pande za Tegeta