Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Mhe. Sergei Kiriyenko, Mjumbe Maalum wa Rais wa Jamhuri ya Shirikisho la Urusi Mhe. Vladimir Putin, Ikulu Chamwino mkoani Dodoma tarehe 06 Novemba, 2025

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania DK. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Mjumbe Maalum wa Rais wa Jamhuri ya Shirikisho la Urusi Mhe. Vladimir Putin, Mhe. Sergei Kiriyenko, Ikulu Chamwino mkoani Dodoma tarehe 06 Novemba, 2025.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Mhe. Sergei Kiriyenko, Mjumbe Maalum wa Rais wa Jamhuri ya Shirikisho la Urusi Mhe. Vladimir Putin mara baada ya kuwasili Ikulu Chamwino mkoani Dodoma tarehe 06 Novemba, 2025.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Mhe. Sergei Kiriyenko, Mjumbe Maalum wa Rais wa Jamhuri ya Shirikisho la Urusi Mhe. Vladimir Putin, Ikulu Chamwino mkoani Dodoma tarehe 06 Novemba, 2025.


Fake news.
This here down is a Correct news

https://www.instagram.com/p/DQtpf24jEMv/?utm_source=ig_web_copy_link&igsh=NTc4MTIwNjQ2YQ==

Damn, Sergey bado yupo?

Russia haitumi watu wake ovyo ovyo mpaka kuna mahusiano ya kweli

1 Like

umepotea siko kadhaa mdau tumekutafuta sana. Tulidhani ulipigwa risasi ya samia

Out of topic

what do you mean sir?

Mama amewafinya makende, sasa mwanaume bwege unamfanya rimming na ma cj mpaka ulimi wako ume fura :grinning_cat_with_smiling_eyes:

4 Likes

Ng’ombe ni ng’ombe tu.

1 Like

KiberaWalker, karibu

1 Like

Kati yangu na wewe nani akaribishe mwengine humu?

Yap Stop Talking GIF

poo GIF

poo GIF

1 Like

1 Like

Karibu haina nani akaribishe mwenzake. Atakayekuja baadaye kwenye eneo anakaribishwa hata kama yeye ni mwenyeji wa eneo hilo.

Kuna shida hapo? Unataka kukuza mambo madogo madogo wakati kuna hoja ipo mezani ya msingi.

I joined this forum in 2015. Wewe uliingia lini?

Sasa hilo linahusiana na nini kusuhu majadiliano haya?

Huna mamlaka ya kunikaribisha humu.