Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan atamuapisha Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb.) kuwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kesho November 14, 2025

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan atamuapisha Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb.) kuwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kesho November 14, 2025.

Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba ameteuliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan kuwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na jina lake kuthibitishwa na Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo November 13, 2025.

Hafla ya uapisho wa Waziri Mkuu Mteule wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania itafanyika Ikulu Chamwino, Mkoani Dodoma, saa 04:00 asubuhi.

https://www.instagram.com/p/DQ_pIYtAsot/

Malaya WA jamhuri ya muungano WA maubwa …