Rais wa Jamhuri ya Muungana wa Tanzania Mh. Dr. Comrade Samia Suluhu Hassana Amewasamehe wafungwa 1,014 - Kidumu Chama cha Mapinduzi (Wakenya wanaumia)

Leo Tarehe 9 Disemba, 2025 Taifa letu linaadhimisha Miaka 64 ya Uhuru wa Tanzania Bara, tukio muhimu na la kihistoria kwa Taifa.

Katika kuadhimisha sherehe hiyo, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ametumia Mamlaka aliyopewa chini y a Ibara y a 45(1)(a) - (d) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya Mwaka 1977 kutoa msamaha kwa wafungwa elfu moja na thelathini na sita (1,036) ambapo wafungwa ishirini na mbili (22) kati yao wameachiliwa huru leo tarehe 9 Disemba, 2025 na wafungwa elfu moja na kumi na nne (1,014) wamepunguziwa adhabu zao na watabaki gerezani na kuendelea kutumikia sehemu ya vifungo vilivyobaki.

https://x.com/earadiofm/status/1998270802840486337

Kuma ya suluhu.