Hamjambo wakenya, naitwa ULole nami ni mdau wa Tanza. Natoka hapa kwenye forum ya great thinkers ama ujulikanavyo Kama jamii forum.
Baba mkuu Magufuli anatabasamu sana kumwona rafiki yake kipenzi Kagame akisalimia. RAIS John Magufuli na Paul Kagame, Rais wa Rwanda wamekutana kwenye uzinduzi wa Daraja la Rusumo na kituo cha huduma.
Sina vita na nyi. Sisi watu wa tanza watulivu. Hata nilisoma huko kwenyu chuo kikuu. I am just like you educated and open minded. I will teach you about Rais wetu and you will teach me too