Luhyas would have given him the required 200k votes for him to win but walirushiwa mahindi kama kuku via weta and mdvd and betrayed their shemeji baba. Hii shida yote kenya is currently facing is due to mluhyas especially bukusus. Sisi kwa mlima gave baba 1m votes and we never imagined his shemejis would be the ones to betray him and the country.
:D:D:D buana Kenya haijahama mjipange tupatane 2037 .
Fuer and tokens na unga na school fees zimepanda lakini jsks anajua kire anafanya. Si ndio kagege?
Wacha bangi nyingi ndugu
Heshimu Omwami
Uliza atwoli…
People have moved on. Let’s focus on other matters
Akifuta weta kazi ndio orengo akue minority leader apate izo 20k extra salary hiyo si betrayal? Chokejingli
Serves him right. He started the betrayal when he removed Weta from the Leader of Minority position in the last parliament.
Lazma turudishie wakamba shukrani, wakamba ni waaminifu
Baba will be back stronger and better 2027
Ako na poor strategy,kura za baba ndio orengo Huwa anazitegemea sio the other way round.
Ruto will get more votes in western in 2027 than what he received in 2022.
@0018 hrs?.
Accept & Move on.
Exactly. I have much respect for our cousins the Akamba. Si watu ya kutapatapa kama baluhya.
What about the luos that did not go out to vote in Baba? They were more than 200k
kwenda ishi bondo mbwa wewe
They called weta uagli saucer kumbe he was the game changer ! bukusu votes could have tipped the elections madvd was the ugali saucer
Bukusu don’t like the odingas kutoka kitambo.
Masinde muliro allegedly had an agreement with jaramogi for transzoia to be part of western… jaramogi did not assist and half of the bukusu went to rift valley…
His stingy son gave wamalwa headache in Ford Kenya.
The bukusu keep grudge.
WSR atatoka kwa hiti after 25 years .
Aende retire akiwa 81 kama Raira…
Lazima apitishe miaka ya Nyayo.