Raila in Kiambu

[MEDIA=twitter]1636710004483936256[/MEDIA]

Mugagaca was andu hadi jambass akakuwa scared akasema tear gas irushwe.

Lakini Kura zinasema otherwise

Jambass ameogopa mpaka amemwaga GSU kama siafu hapa Statehouse

… Iko njaa,. Jambasi has dug this country into a hole. wait until we start to feel the effects of his bloated cabinet.

Mara mingi sana nimesema na nitaendelea kurudia sio kuzuri…Kama mbaya mbaya…raia youth especially wako zoned out i Kenya

high cost of living and appointments of ONLY KALENJINS IN GOVT has brought Kenyans together . Monday katanuka @Electronics4u

The tear gas was not necessary. Let him preach whatever he is preaching without drama. For he loves chaos.

People thought Ruto is a political schemer but his actions so far are those of an amateur and he seems to lack social intelligence

Ruto should be given hell the same way he did to Uhuru; when he was crisscrossing all over the country, launching projects and creating a name for himself. Kaende kaende. Everyday is protest!

My problem is the high number of idle youth everywhere you go. Local shopping centre ya ushago kwetu a few years back haikua rahisi kupata vijana wakiregarega. Hata kanda ya moko ulikuwa unaenda saa tatu kwa base yao wanaita Labour Market unapata wote wameenda kibarua. Siku hizi unapata young energetic men wamekaa tuu ndee wanacheza pool ama draft the whole day halafu petty theft imeongezeka. Hawa ndio watu wataleta shida coz they have so little to lose.

With CAS Omanga petty crime itaisha

He a thieving schemer.

Nobody has the right to trespass to statehouse. Kuna mtu atakula risasi ndio mpate adabu

Vijana wengi wa siku hizi hawataki kufanya kazi. They think money will fall down wakiwa kwa baze ya jaba.

Wrong. Saa hii ushago hata kupata mjengo ni ngori.

Mijinga kïpiiiiii mumama zaidiiiii umekaaa hivi fuaaaaaa ukihara ukinyamba ukidunga ukinusa uvundo ukakuambia wewe na muhahe yooooooooote ya watu wenyu wewe ndiwe wa kwanza na hii stale news? Brare taktaka ghaseer imbilisi nyeusi choo wewe.

Katanuka

RWNBP

Statehouse ni mali na wananchii. Wakiamua kuichukua, waifanye Tiananmen Square.

Monday!!! Monday!!!

Kapìiiiiii