Raila Azimio finally embraces bottom up

[MEDIA=twitter]1541626873859432448[/MEDIA]

Saa ingine I wonder if these people, Raila mwenyewe included, are seriously serious ama it’s just campaigning for the sake of it? Like wameajiriwa so they are doing it bora siku iingie! The gaffes they make every day…!!!

[ATTACH=full]447198[/ATTACH]

Huyu naye ndiye nyang’au ingine!

[MEDIA=twitter]1541500753629663235[/MEDIA]

Semantics ndio zinawachanganya…devolution, grassroots, bottom up…all the same thing…question is, who was the first one to champion it?

Tunataka pesa mfukoni na kukabiliwa Kwa mfumuko wa bei za bidhaa.