R.I.P. Dead @ 81...

Ni kama kimzee kingine kinaitwa Mukuthu. Kimefungua bar, halafu huwa kinaenda kulewa hapo hapo. Wakati mwingine kikilewa kinachokozana na kupigana na customers mpaka maglass na meza vinavunjwa vunjwa! Na hasara inaenda kwake tu!

NKT!

3 Likes

:D:D:D:D:D:D

Wacha umama mingi… but again you are one…

musisumbue mod of the year

3 Likes

ng’ombe ya kimilili umetoka mafichoni?

1 Like

chief , niko tu chini ya maji

1 Like

Pole bana juu Hata siwezi kukurushia ka quarter ka gibleys…

1 Like

pombe nimewacha kapsaaa

1 Like

Hehehee!!!
I’m ignoring you, my Friend! I don’t know Why?

Mukuru Kwa Zukabaga

Mukuru Kwa Mukuthu?

Anyone noticed that the road leads to a gals hostel? The Ole Pussy Road?