Naona Quivers lounge wamelauch huku kenol…naona things are looking up good …Wacha tuone kama zile ratchets zitakam huku
Usikuje na gumboots vile umezoea local zenu
Haha…well thanks for the heads up…ntakuwa rieng
monalisa montezuma haiko mbali. clients watajaa
Kwani huko ni luwere haven?
More like mchele heaven.
Na vile I was so excited…will keep my eyes peeled nikienda kuji9c huko…
Pilau yako yapikwa na njeri
Wacha washamba wa hapo wachanuke. Area has a few birrioneas so Quiver watakula poa