Quick Stupid question

Wanyama huwa wananyesha kweli?.

Kama ngombe ama paka… zinakuwanga na mashiro??

[COLOR=rgb(255, 255, 255)]…,…

[COLOR=rgb(255, 255, 255)]kkjhjkh…

Sledgehammer you are full of :meffi:

Ukijua uzinunulie pads ama? Anyway none of my business!

:D:D:D

Nigga, beastiality is illegeal. Take your weird fetish far away from this village.
Saitan!!

Si unaishi Naks , si uulize ule jamaa Wa kuchinja paka

Oh gosh!!
i guess that’s why you are an ass hole

INABIDI NIJIFUNZE KISWAHILI YA HUKU MASHIRO NDO nini

Nasubiria jibu

Jibu gani sakayo

Ma @Shiroe

Ya hilo hilo uloshangaa hapo juu

Ninaenda kiswahili course cha Kikenya

hawa jirani zetu sijui kiswahili wamekitoa wapi

Utazoea tuu…
Mie saivi nashinda kwenye nyuzi zao kusoma

:meffi: is the new normal wakanda man

mashiro ni chakula cha padisi

padisi ni pads za wanawake au padis za gari

Ma shiro ni mp maa