Girla akikuitisha punch alafu umchapie ukona soo alafu aseme umtumie hio soo alafu utume… Akona haki ya kukudharau kweli?
Ama kunaendaje?..
Kuna dems alikuwa ameniweka friendzone hadi na glue… I have been trying everytime kutoka , Girla hana mjamaa saizi… though exes ndio teamu babu kubwa…
since nilijenga yeye soo moja , amekuwa akinilenga ki plani… Sikuizi hata mwezi anachapa bila kunigotea… mimi nami ego yangu manze haiezi taka nijionyeshe nikona haja naye saana hivo… Lakini nakipenda sana kifala
.
Priz wazae , Advise ikuje mbio mbio kabla nitumwe mkate.
Delus
July 19, 2018, 6:11pm
2
Maybe alijua utampea juu unamdai:D Usijali
SledgeHammer:
Girla akikuitisha punch alafu umchapie ukona soo alafu aseme umtumie hio soo alafu utume… Akona haki ya kukudharau kweli?
Ama kunaendaje?..
Kuna dems alikuwa ameniweka friendzone hadi na glue… I have been trying everytime kutoka , Girla hana mjamaa saizi… though exes ndio teamu babu kubwa…
since nilijenga yeye soo moja , amekuwa akinilenga ki plani… Sikuizi hata mwezi anachapa bila kunigotea… mimi nami ego yangu manze haiezi taka nijionyeshe nikona haja naye saana hivo… Lakini nakipenda sana kifala
.
Priz wazae , Advise ikuje mbio mbio kabla nitumwe mkate.
kama safaricom inakudharau mpaka haikulipishi za kutuma, imagine vile huyo mwanamwali amekubeba?
Soo moja ni ya credit card ama ni ya nn??
Ni kama ulituma soo moja ikiwa flat ata 10bob za kutoa kwa MPESA hukuweka ndiyo maana huyo dem anakudharau…
Ungemshow tu hauna cause 100 bob atafanyia nini ata kama ni wewe. Ata maziwa na mkate haiwezi nunua.
Mia moja ndio inakusumbua kichwa hivyo?
mimi nilichoka kubembeleza
0 tolerance for bullshit
its my way or the highway
Wakanda man hiyo mia aliweka kama credit akapigia sponsor amtumie 5 K. You are a good samaritan
Mtumie 428 bob ili akutambue
Ulibaki na how much after kutuma 100?
Wechez
July 20, 2018, 2:52am
12
SledgeHammer:
Girla akikuitisha punch alafu umchapie ukona soo alafu aseme umtumie hio soo alafu utume… Akona haki ya kukudharau kweli?
Ama kunaendaje?..
Kuna dems alikuwa ameniweka friendzone hadi na glue… I have been trying everytime kutoka , Girla hana mjamaa saizi… though exes ndio teamu babu kubwa…
since nilijenga yeye soo moja , amekuwa akinilenga ki plani… Sikuizi hata mwezi anachapa bila kunigotea… mimi nami ego yangu manze haiezi taka nijionyeshe nikona haja naye saana hivo… Lakini nakipenda sana kifala
.
Priz wazae , Advise ikuje mbio mbio kabla nitumwe mkate.
Tafuta mjamaa Wa linglong akupatie kamutee. Atakuwa akikufutwa vile Joho alikuwa akiandama bratha ya Gathecha
hata hao hulipwa na sio mia moja,
Friendzone? what sorcery is that?
Desoto
July 20, 2018, 4:54am
15
Do you want advice to recover your 100 Bob, or advice on how you are going nowhere with this girl?.
Cut your losses and move on.
Mimi singetuma hata Bob akijyamaza pia najipa shughuli. After three months utaona anakusaka.