Quick Question

Waumini…

leo niko church bana na Sikujua ni siku ya matoleo…
Manze nijitoe aje, . hehe Sina any bana

You are in church na kazi ni kubrowse? Ungekaa tu nyumbani nanii

ni dhambi?

Si lazima utoe sadaka bro. Kutoa ni moyo wala si utajiri.

Hisia zako kwamba huna la kutoa ni sadaka kuu sana kuliko aliyetoa maelfu.

Kaa kanisani mpaka ibaada imalizike. Hata mimi wakti mwingine hukosa sadaka.

Tena kubwa mno.

Your Jehovah/Yahweh/Jesus detests other gods, including the almighty ktalk.

Makosa kubwa ni kubrowse kanisani

heri mimi niko kanisani

Kututoa sadaka sio dhambi

then l fail to understand what’s the work of WI-FI kama these how you wanna reason out things

To look up the passages perhaps. The preacher always quotes many different supporting authorities. I don’t think ktalk, mkz, kmd count.

ni ya kukusaidia kusoma bible

You read the online bible ONLY !