Why is Chris Kirubis bed in the sitting room? Does he stay in a bedsitter?
Nimeona photos mingi kwa timeline yake
Leta hapa brary
Upuss
kuna place huwa anasema
ASK KIRUBI
Because he minds your business
cz he always sits their waiting for visitors … ninja inasonga … hapa ndio wahenga walisema money aint shit no more
Za nini, what will you gain from seeing a senile near a bed in the sitting room ?
Ukizeeka utajua !
my grandpa once told me “kijana ,ile siku utatengeneza nyumba yako,usitengeneze ya gorofa,ile siku utazeeka ,utalala sebuleni” ,he was never wrong.Nyumba yako unafaa kulala hadi kwa bafu coz you can walk to it but ngazi ,hapana
Ni Raha zake. Tena when you grow old, huwezi kukalia kiti muda mrefu. Inabidi ukae mwili wako ukiwa in a horizontal prostrate position.