Quencher Water

Hio maji inakuanga tamu sana.

However i have noticed the last one week hii maji haiko kwa maduka…the 1.5litre bottles.

Kwani zile springs wanachotanga hio maji imekauka ama nini?

1 Like

Most bottled water ni tap water ya Kanjo

@The.Black.Templar Are you a shopaholic?

Hehe kwanini?

Angalia threads zako.

1 Like

Alikuona mkichagua bags Mtindwa na size 8

1 Like

Maybe they were told to punguza their use, because of the drought? The rationing?

Ni ukweli nimeenda malls mob…not to shop lakini but to keep myself updated with whats happening around Nairobi. And to also take advantage of offers given out now and then. Kama juzi the game pale garden city walikuwa na offer ya tissue at 15 bob…mimi nani nikanunua stock ya mwaka mzima

2 Likes

dasani ndio inakuwanga tamu sanaa

Hio inakuwanga na taste flani huwa wanaongezanga

:D:D:D:Duko na ujinga mzae…hehehehe

1 Like

Maji ya mtungi huwa tamu sana

2 Likes

:D:D:D:D:D:D:D:D:D

mimi siwezi kunywa maji haina gas(sparkling water)