Quarry series

Just sampled the first episode, hii series inakaa itakuwa moto
https://mattnableonline.files.wordpress.com/2016/08/img_6777.jpg?w=660
sneak peek

https://www.youtube.com/watch?v=NKxCyFAVQ3s

Hope so !

What is it about?

Vietnam veteran returns home with his friend then a guy tries to hire them to do hits but yeye alikataa beste wake akaitikia only for beste kumconvince amsaidie kufanya hit. But bahati mbaya hit haikuenda poa so ni yeye analazimishwa kufanya hits .

https://www.youtube.com/watch?v=Z3270PgGUVs

Another promising one

Narcos season 2 pia Iko chonjo elders.

Narcos iko poa. Niliona Nyam na Uwes wakisema iko poa nikadownload. So far sina usingizi toka weekend.