Quarantine Manenos:Man moving in using chapos

Hii quarantini iko na vituko chungu nzima. Vitu zingine unasoma hadi unatoa macho I ukicheka. People please don’t use upishi kumove into s1s house. Social distancing.
@Finest wine Kuja uone vituko.

Borrwd accnt
Wamama help me understand this son of woman…I met him 2months ago,so ati we’re official dating but ever since we met…tulienda date once…tukachat few weeks later ananitumia pic za chapo alikua anapika they looked yummy i had to comment…akanishow he can cook for me too nkamshow okay Mimi nlikua naona ntapewa ready chaposmsee alikam kwangu akaanza kukanda maunga akasukuma chapo na nyama I appreciated 2weeks later akaniuliza do you miss my chapo nkamshow yes akasema I’ll come to make them for you…alikam Thursday akaenda friday akarudi na ka bag ka mgongo mpaka leo ako tu namwuuliza kwani ulikua unamove in anacheka…imebidi nimwambie leo naenda kwa mamangu anasema ati nimwache kwa nyumba nkasema zii akasema nkirudi nmcallMimi nangoja atoke nishaomba bro yangu tuexchange padlock niende kwa mother na sirudi…na venye nikihandsome kumbe ni bure tu ukimwona akitembea na kakhi trouser na koti utasema ni mayor huyu alikua anataka nimuoe ama?

Hahahaha. Hahahaha.

Seriously?

Freeloader…both sexes are guilty as charged.

Inakaa ni kama ninasoma essay ya KCPE English, had to read it twice nielewe. So ni boy anapikia dem chapo ama ni mimi sijaelewa vizuri

hii ndio shida ya mwanamme kuwa kihandsome,akili inafeli.Am sure hata huyo dem akirudi bado utapata kijamaa kinaenda kupika chapati.
Damn!!This generation! these days am starting to understand why it is important we build time machine,angalau tuokoe the male species

Mwanaume bwege huyo,kwani in mkao au mganda.They’re the ones fond of cooking chapatti’s

Yaani jamaa alitumia njaro za kupikia dem chapo kama kigezo to move into her house. He came and never left. Now she wants to visit her mom, jamaa anataka kuacha kwa keja ya dem.

Kupika chapo siku hizi ni kitega uchumi to so many broke men. Unapikia dem chapo tamu hadi anasahau umekuja dependent wake.

Siku hizi no more dik pics or nudes ni chapo photos. Unatumia mrembo picha cha chapo anaingia box unahamia kwake hadi Corona iishe. Waganda men seem to be the full package I hear they’re very good in bed sio kama Kenyans. Poa chapo wanapika? Wacha quarantine iishe tuhamie huko. These Kenyan men hata mayai lazima iungue.

Wacha hate speech you’re a Kenyan and live in Kenya.Ugandans are just foreigners to most Kenyan ladies.We can cook and really cook but not chapos hizo wachia wakao na sevos.

Chakula special in Kenya ni chapo. In Kenya if you are a woman na hujui kupika chapo Aina tano it is a crime, crimes against humanity. Chapo ni kitu muhimu sana. You see jamaa alikuwa homeless akanunua Unga akapika chapo the girl akasahau this is a stranger vile Unga iliisha ndio akili ilirudi. Usicheze na chapo my fren. Utanyanganywa dem juu ya chapo. A Kenyan man not a Kao alinipikia chapo, from that day mapenzi yalinoga kunoga. So I am also a victim of chapo. Do you think it’s a coincidence watu husema umekaliwa chapo ukimpenda mtu excess.

The modern man lakini:D:D:D