Quadjinga Tacker Tacker uwesmake

[ATTACH=full]58840[/ATTACH]

Wariah unakunywa makali haram?

6 Likes

Apa kuna Shida. Hakuna kitu mbaya kama wariah amelewa. Trust me

5 Likes

Hehehe…

[ATTACH=full]58860[/ATTACH]

1 Like

[ATTACH=full]58861[/ATTACH]

2 Likes

Do you ever give yourself a break?

5 Likes

:D:D:D ati Jack Talker

2 Likes

Ati ukikunyua hi kitu unakuwa talker? Lazima imetoka kwa Megafool!

1 Like

Kinywaji noma sana manufactured in Ukraine…

[ATTACH=full]58897[/ATTACH]

Hii Jack Talker, siyo manufacture mtaa za Eastlando ? Si uli ona zile machupa za Jamieson.

For real. Hii Ni kinywaji ya Ukraine.

hi tuliona jana ulikuwa umeenda wajir?

Poa basi. Nitai jaribu.