Pweza kwa chapati za malenge

Oya wanakijiji leo msilale mapema wala msile chochote nawatayarishia chakula murua. Hivi sasa niko jikoni makaa yashawaka moto na chakula kitaiva midaa ya saa sita za usiku. Msije mkasema eti mkufuu hakuwaalika maankuli, eti ooh mkufuu ni mchoyo. Vuta subira hadi saa sita hivi nitakupakulia vya utamu. Kama hujaonja chapati za malenge ya aina ya butternut njoo nikupe…kama bado haujamwonja pwenza karibu sana kwangu nikupe kipande. Kama wewe mwanadada na hujui kutayarisha hivi vyakula njoo kwangu utayapata hata mafunzo ya unyagoni. Nawe @pamba kabla hujakuja hapa kurusha maneno makali makali jua leo mimi si mahabusu tutamenyana. Haya wacha mie nirejee jikoni.

[ATTACH=full]19017[/ATTACH]

#112

8 Likes

KISWAHILI ITAKUUWA SIKU MOJA WEE MKAMBA

9 Likes

I can see the asshole on that thing

1 Like

GAY

1 Like

lol @Unicorn can you prepare this?

no comment juu sipendi kusema kama ango…

2 Likes

BTW CHAPATI ZA MALENGE NI GANI SIJAWAI KULA

Thanks for the offer I’ll have to pass … Was wondering where I had seen such an eeky image… then I just saw your Avatar;)

2 Likes

one thing i miss about msa is the food godamnit …viazi karai na ukwaju, biriani, na kadhalika

1 Like

Hizo number za hashtag ni za nini? Count down to what?

How true is it eti pweza inaongeza libido. Ama hizo ni story za waswahili

But the portions served in hotels there are very small.

Can’t wait to see the final thing.

Nangoja matokeo lakini huyo pweza, hiyo sura inatisha mno.

Nangojea matokeo.

Nimejua leo that pweza ni octopus.

@uwesmake kama umewahi kula chapati ya Uchumi, umekula butternut chapati.

1 Like

Unaniangusha

It’s not about me at the moment. It’s about @Mkufuu.

Another reason why @Mkufuu makes my clit tingle…

4 Likes

^^^^You have a clit? Wakanyama, LETA NJORA TUKATE HII!!!

3 Likes

http://www.pitacodoblogueiro.com.br/wp-content/uploads/fap1.gif

1 Like