PWEGEGEGEGEGE

:D:D

Kale ka-team… Ngoja nimalize kucheka :D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D

1-1 draw at home na stoke. The last time stoke picked up a point at old trafford was in 1980.

Pogba’s fee is like 3 stoke city teams. Pogba pekee. :D:D. Napenda sana, in Mourinho we trust GGMU!

2 Likes

Meffi saitan ghasia takataka bet yangu imeungua.

5 Likes

Pale kwa prediction so far ni Chelsea imeingiana o_O

Hata mimi hizo maraya za Truffled zimenimalizia bet ya O2.5 ikiwa imebakisha games tatu:mad::mad:

1 Like

Niaje @Mzee mzima kwani na tuliambiwa defenders watakuwa wanacheki Ibra, Pogba na Rashford wakiwa kwa box wanafreeze; inakaa hawa wa Stoke hawakupata memo:D:D:D

2 Likes

Inakaa leo miti inatereza, man city pia wako in the process ya kukamuliwa.
Almost half time 1_0 to Tottenham.

Infact 2_0

2 Likes

:smiley: :smiley: hahaha
nachekea hii statement plus avatar

Am not making pg 1 today.
Lakini naja
Wonder what uwesmakei uses?
Kwani alienda tz

1 Like

kelele tagatagah…#mzee nusu

Kwa games zote?

@Deorro endelea na machungu

HEHEHEHEHEH wajinyonge na big g , manchieth

1 Like

Mimi jana Bayern kunitoa msee. :smiley:

hehe napenda sana,kuna ‘Wananchi’ wanakamuliwa pale white hot lane

meffi wewe. Wenger will never win EPL

Hehehehe…
jana nililenga bigwigs zote, leo nikajichocha niekelee hadi napoli, saa hii naona Napoli imekaliwa chapo; lakini hata haina use…

1 Like

That avatar can bring a smile to anyone!

1 Like

Another demonic laugh…

We should have won, Ibra alitupa atleast 2 goals. Atleast the perfomance was alot better today, you can see the team gel, moves zinaclick, great chances were created finishing tu ndio iko chini.

Wacha excuses msee, uliona your previous match?