pwagu na pwaguzi

@kah tony in action

Clean sweep

Wewe unaewajua Pwagu na Pwaguzi ni mhenga

Mambo ya Pwagu na Pwaguzi kuja kuyasikia ukimbizini yanaleta kumbukizi njema sana!!

Miradi ya Pwagu na Pwaguzi ilikuwa kama matamko ya mungu wa Dar :smiley:

Walipokuwa wanaanza kuigiza utadhani wanawaza jambo la maana, mwisho sasa ndipo utajua kumbe walikuwa wanawaza ugoro na kufanya utumbo.

Ninakumbuka walianzisha mradi wa kufuga paka kwakuwa ni mnyama msafi. Walizaliana walipofika paka 200+ ndiyo waligundua hakuna soko.

Tumeingilia bandiko la watu kwa Kiswahili chetu cha Tandale kwa mtogole!

Hata kukaribishwa hakuna

Hapa Tz Tuna Pwagu na Pwaguzi