we need a guy like him
Amekula bibi ya nani tumtambue
He didn’t bang the table so I’d say he has nothing on the son of Kenyatta
Putin told the billionaire "give me back my pen " after forcing him 2 sign the agreement…waaaah this ninja is cold
I second that.
Summarize vile hiyo you tube inasema. Hatuna bundles.
Seconded.
Mwambie watu wa bundles za 20bob hata picha ni luxury.
He was in the KGB and has a lot of dirt on those Russian big shots.
Now imagine Putin akiingia TSC awaambie waache ufala walipe walimu pesa zao. Then a.force @Wakanyama to sign hio agreement na before akae huko kando aitishwe bic ya wenyewe.![]()
Hao wa Russia wako Dubai wanapatikana vipi mtu wetu?
kubalieni hakuna pesa and move on
Mujamaa hawa mapoko wa Russia lazima ukuwe who is who ndio wakutambue. Hao hudandia ma super rich na kuna ma mafia hivi wana control hizo nyap zao. Though pia unaweza angukia wale wamechapa wakaamua kufanya side hustle.
Wakameat its not over until its done.
wapi table bang?