Puthy sio supu: Lesson by TDH

Long time ago nlikuwa Campus, sasa at first year, tulikuwa tunaishi na a ninja called Mulosi. This nigga was Tall dark and handsome, I mean A REAL TDH (Tall dark handsome) as we had nicknamed him. This ninja was at first year and ladies were getting nailed right left and center by him… ata 4th years alikuwa akileta kejani nakula exile. This ninja was a real Luopean, From pale Kondele in Nyanza. sasa one day alipatana na syombua, Syombua alikuwa yellow yellow asii, and alijua namna ya kufanya ninja izubae na yeye… she was a kamba and sijui ama ni kamutii but this ninja hakuweza kumtoka. alikuwa tu idhaa ya syombua this syombua that.

One day, TDH akiwa hapo kejani akishow Marco, ntakam kesho nimeitiwa tilapia (His best meal) na syombua (At first year she used to live outside campus). that was the signal that any of the bitches come asking for TDH ni kuwaambia pia mimi nina mti. Off he went… alipofika akandaliwa chakula na kukula syombua destruction style hadi alikuwa anaamshwa na persistent knock kwa mlango next day. Kwanza hakufungua, ninja ile iko nje ikaanza kuita syombua switie, babie with a deep voice… after kindu 30 minutes Omosh had woken and started to produce insults to the nigga outside as syombua had indicated that ni ninja ya hapo kampo. Eventually TDH mastered Enough courage to Open the door since the other guy was sounding like a really small person now. MAKOSA

The Mongo he was:p, The moment he opened the door was when he regretted ever knowing syombua. (He had used SMALL MAN technique Where you decive your enemy to be small ndio anakuja akijua n kukumaliza then, unapata chance anajua hujui ) The ninja was a huge GUY a KDF straight from ISRAEL (that time walikuwa wanaenda training huko he said was Classified) and had come to graduate to chief Commander… KDF had left Syombua in kenya and was paying her house, school fees and Expenses, and had come back in prospect of paying dowry and MAKING SMALL KDF’S :D:D:D:D:D. KDF after reporting from ISRAEL had skipped reaching base, moved from airport had decided to take a taxi straight to Syombuas house Lakini akapitia Pale nakumatt na kushika two megga Paperbags full of sweet little things for Sweet Syombua and a big thing in his pants.:D:D:D:D:D

TDH alijipata akipiga nduru but Kofi alipewa alskia crack sound kwa Jaw. … akaaunguka akacrawl hadi chini ya kitanda. KDF pulled this Mongo from under the bed na kuanza kumlima akipiga masomasault. Na kumnyonga na miguu… Syombua piga nduru. Syombua akapewa boot moja sura akazirai, na hapo ndio KDF Aliona atauana wakabaki kumpepeta na TDH ndio aamke na hapo ndio Hasira zikashuka kidogo akaamua kuambiwa kilichoendelea. TDH akasema walikuwa wanasoma, yeye ni classmate na sasa alispend night first time(Nigga had been tapping for two months now) tu juu wako na project and it was late, He apologizes hatawai rudia hio makosa. :D:D KDF akaambia syombua arepeat hio events from reverse akashindwa na hapo ndio akaitisha ile samsung alinunulia Syombua na kusoma the whole copy ya convo, na simu ikapigishwa wall (ALWAYS DELETE ALL CHATS BEFORE ULALE). AIR Jordans zile TDH alikuwa anaringa nazo ziliraruriwa kama makaratasi.

TDH akapigwa burukenge style na kuvuliwa nguo zote, That ninja akazitoa nje and literally burnt them including walet yake iko na 100/ bob (Funny but ninja was most hurt na hio mia ilichomwa na wallet kuliko kipigo, used to remember that mia very painfully:D:D:D:D) na finaly sent the naked nigga off as children wa plot had come to watch laughing. The laughter ya watoto ilibamba KDF akawagawia ile shopping yote ya Syombua. So TDH looked for a maize plantation akajificha all day but luckily saa tisa akaona a jamaa huwa anafyeka shule akamuita akamuexplainia vile amenyanganywa nguo na wakora. Akahurumiwa akamuendea baggy trowser na jacket megga. And that’s when akakuja kejani na kunipata… Hio story nlicheka yote on narration. He always renarated that fatefull day akilewa… always saying Puthy sio Supu.:D:D

hii kitu tamaliza mboichaud

[SIZE=7]BEYONCE ALIIMBA [/SIZE]

[SIZE=7]WHO RUN THE WORLD [/SIZE]

[SIZE=7]GIRLS GIRLS[/SIZE]

[SIZE=7]WHO RUN THE WORLD GIRLS[/SIZE]

Hekaya safi

Hapana kulia slices kwa nyumba hujui nani analipa.

Wahenga walisema hivi zamani sana. Maslay Queen wanaweza kuonyesha moto

@imei2012 ebu leta the other side of the coin.

:D:D:D

Away matches are a big no.

:D:D:D:D

:D:D:D:D:D:D:D:D:D

Unacheka , Je mtoto Wa wenyewe angeuliwa ju ya hii uslay Queen yenyu?

Hii hata ulipie billboard hawatasikia.

Hangekuwa wa Kwanza.

:frowning:

@Architect anataka kukamua bibi ya jirani kwa thread flani.

Jamaneni… Hekaya iko on point

:D:D:D:D nice hekaya
Kuna kautamu extra ukionja away match

MAKOSA :D:D:D:D:D:D:D

:D:D:D:D:D

Kuna jamaa alikua anaendelea Kwa nyumba ya wenyewe for one month but on fith week akapatikana . Bahati jamaa hakua ameanza mechi so akachukua mitungi nakutoka nje. Bibi akasema huyo jamaa Ni Wa kuchota maji