Punishing Uhuru In Central Kenya

2 Likes

Hio ward itakalika banae

Hiyo beans ni nyingi sana. Na ugali mlima.

:rofl:

Leaders wanafaa kuwa serious kiasi tu.
Vitu kama roads, hospitals, electricity and schools ndio wanafaa kushighulikia, hata wakiiba hatutapiga kelele. Lakini umbwa zinaiba Kila kitu.

1 Like

Hii ni Nyeri PGH kwa Gachagua

Tuliona kabla ukue na fudhi

Hasoraa ataware

1 Like