Psycho exes

Sorry for the long post… so I decided kutafuta hao ingine nimove out. Nikapata kabedsitter nikalipia… nikaanza kungoja siku atatoka nihame (ju alikuwa kama house husband, hatoki)… so there’s one day nilipata chance early last month nikautilize vizuri… nikahama. Vile alipata nimehama akaanza kunithreaten, plus sending my parents & other relatives msgs za kutisha… that very day nikiwa night shift he came to my workplace akaanza kunibeg nimpe key aende kulala, he stayed there for over 2hrs begging but sikumpa… I didn’t want him to know where I had moved to. So alinitime akahepa ba bag yangu hopping that my keys were there, unfortunately nlkua nazo kwa pockets. So the following morning around 5am akaanza kunitext eti nimemuibia, nitajua sijui… imagine vitu alikuwa anaclaim zote ni zangu, some alinipqta nazo na some I had bought nikiishi kwa relative. At around 7:30 am I was called na OCS niende Station I have a case…that guy had reported nimemuibia everything while he was away… and since huko ni kwao & he had connections with some of the officers wakanilemea, i lost everything hadi bulb na masufuria… nikampa zote. Na tukaandikishana yetu imeishia hapo, no one will ever bother the other one. That was 12th Jan. So me nikabuyiwa vitu zingine na wazazi na nikaendelea na life hoping I’ll now find peace. I blocked him everywhere. So after 2 days he started texting me & calling with new no.s nikimblock… 2 wks later he started sending me threatening msgs. And on Friday 26th akaniambia one us hiyo siku anaenda jela mwingine mortuary. The very day nikitoka job that evening, at around 7:40 pm nikafika kwangu stima haiwaki, na kwa neighbours iko. So I just entered nikafunga lock ya katikati ndo nipigie caretaker, kuwasha light ya simu my house was so disorganised unlike when I left. Kumulika side ya sink jamaa akatoka chini ya sink holding a knife & ready to stab. I screamed at the top of my voice & neighbours came to my rescue (thank God).

1 Like