Psst! Wewe weeewe! (EPL Matchday 22)

Hey people. Remember today and tomorrow are Match Day Numero 22.
Place ya bets here man! http://www.kenyatalk.com/index.php?xfsoccer/matches/premier-league-2015-2016.10/bet
@Okiya is pulling away man! PULLING away from the leading pack! he has opened a 3 point gap! Haiya?
@kermit! Nekee mani? Jaribu usimwashirie saana bana…
@Mathaais…nakushekisheki. niko na wewe hapa kwa papa hii weekend:cool:
:cool::cool:
@Jirani mtu nguyaz (btw pole kwa kung’oa ile thread ya jana:D) naona wewe ndiye number 1 kwa page 2. Am sure next monday utakuwa page 1. Naona umeacha rafiki wako wa shada na pete @uwesmake by 10 places.
@Mundu Mulosi naona hautoki number 18…whatis?
@admin bana? Whats happening? unateremka shini tu kwa rankings? Number 36? But you are not doing badly compared to Mtu wa sheki maneno @The.Black.Templar ambaye yuko nambari 80.:eek:
:eek:
Twende kazi! and enjoy your weekend. Talkerz
(psst: bado niko down tu sana, turedio hatununuliwi. Si @Meria Mata unirushieko kakitu pwana…?)

4 Likes

wazi mzito…ni ka hangover…wacha niweke bets sasa

@scotch na @mariachi nishatoa indicator naomba mnipishe tafasarini…:rolleyes::rolleyes:

2 Likes

Bets nimeweka. Gap inaongezeka to 7

1 Like

haha points saba na last week ulipata point moja if im not wrong:D:D

1 Like

request denied

Tulikuwa busy compiling list ya waliochuna Euro bond money so focus haikuwa fully kwa predictions.

2 Likes

Can Tottenham go all the way and win it? Niggas are scoring goals for fun.

Everton is killing a certain small relegation-bound club. Lukaku ua nyoka.

Against Sunderland. Spurs do not score/win when it really matters but this season watakuwa top 4 together with Leicester City.

Game ni 90 plus

Seems I spoke too soon. Everton 2- Chelski Oil Club 2

Nimeona mzito.

Nimeibiwo @Electronics4u
[ATTACH=full]27618[/ATTACH]

It’s supposed to be a draw.