nani mwingne amekatsiwa na psiphon ama ni mimi tu? imefungwa??
psiphon ni nani
Kamekatwa
Huwa sina bahati… i buy one or two days later hao overly ambitious telco workers block the shiet…
ulikua umei-bet-ia???
hapa huja ambiwa poa
Hawa watu watelecom waache utiaji. Mothafucker:mad:
kumbe most of pple here were using psiphon…hamucomment…inbox me siuzi izo settings…
hii ni forum ya new villagers…wacha niketi pale -------------->
najua huna cha kusema @tuviz
yaani m.wikipedia.org ndo the only free site mnajua???
wewe mwenye kujua sana tuambie ingine
Mi niko nazo zettings za ndm vpn and they are still working. psiphon lakini ilikataa. so anyone who needs them inbox me.
Si bure lakini.
a
airtel ama saf
dont waste you cash my niga, these bastards are colluding with guys in telcos… they sell you the shiet… one day later it gets blocked… hii ni kama scandal ya waiguru if well investigated… ukilipa na number yako they block it after two days but keep selling to new customers.
Makes sense. Luckily I used over 300 GBs