PSG vs Istanbul Basaksehir suspended

Breaking | PSG vs Istanbul Basaksehir suspended following alleged instance of racism on the part of the 4th official towards the Turkish side’s assistant manager.

Kwani hii group iko na nini

[MEDIA=twitter]1336408047812567048[/MEDIA]

Black race matters

Na vile #Manchester tunangojea hii game bana… Our hope

Istanbul iache drama za umama wapigwe bao sita polepole, meanwhile Manunited ombeni fifa i expel PSG juu ya makosa ya 4th official :D:D:D:D

Yaani PSG iko juu ya Man U na bado hawajacheza game yao :D:D:D:D

[ATTACH=full]338100[/ATTACH]

Hata psg wakilimwa 10 nil na basaksehir, united watakuwa bado number 3

Manchester are already out even if psg don’t win psg 4-3 Manchester united on h2h the writers are doing a good job.:D:D

[ATTACH=full]338166[/ATTACH]

Hapo sawa

Hii game imekwamisha bet yangu. I’m just waiting for this game to play na wafunge bao first half nikule