Kwa Nation ya leo back pages just before obituaries kuna advert ya auction due to distress for rent.Wamesema ni landlord vs Joy Njeri.Among the items being sold is a PS3.Nimepiga simu nikaambiwa nijipange na elfu tano,as is where basis.Hii nikugongwa ama ni kuangukia?Auction itafanyika 19th Dec.
Mbirrionaire tuna ngoja PS 10.
PS3 second hand hugwes pata na less than 13k. Pengine mtu akuuzie 10k kama anaona atalala njaa. 5k is a good deal, shida ni ati mpatane ghaseer kama 30 mumeenda kubuy the same item alafu price ishoot.
Chunga kugongwa. Na pia usisahau maghasia kama 50 wameona iyo advert. Utaenda auction muanze kuambiwa muongeze doo
Just rem it’s an auction. Carry extra cash in case you get outbid.
The highest bidder carries the day msee
chunga sana such descriptions
Hii utalipa 20k
Kuja inbox nikuuzie ps3 safi na games 3 13,000/=
Unatoa mtu kwenye mwangaza unampeleka kwa giza (inbox) mkaongelelee huko
5k, as is basis? Run bro, just run…
Just buy a new ps4 ukingoja ps5 ishuke bei. Not worth it kubuy such an old gen console imo.
Utaiibiwa ndugu yake, leta 10k nikupee PS3 na game moja