PROPHECY FOR KENYA

Wairimu Nelson

https://www.youtube.com/watch?v=7ZT21UODP3A

Ugh! I find her quite reprehensible.

why? she is pro Jubilee

Religion and politics shouldn’t mix. Here she’s acting like Balam…blessing what should be cursed and vice versa. (read Ruto).

She is Unye’s friend not Rutos so …

Well prophets spoke to leaders even in the Bible ,personally I believe that the price for apathy by christians on public policy and politics is to be ruled by evil men , so we can not separate politics from our quality of life and our freedoms ,remember how Hitler a political leader led to a genocide of millions of innocent Jews yet there were Christians and even Christian leaders in Germany at the time.

Wasn’t that Ruto’s wife sitted in the front row at FEM?
Christians need to hold politicians accountable but too many fake pastors are willing to bless dirty monies in the pursuit of wealth. These politicians should be forced to repent in church for looting kenya (and pay back 4x like Zaccheus) not getting the red carpet and front row seats. What does the bible say about that? Hmmm…workers of iniquity. Frankly they all disgust me.

http://gadocartoons.com/wp-content/uploads/2017/09/Sept-05-17-Religious-Leaders-Speaking-With-One-Voice-595x450.jpg

https://encrypted-tbn0.gstatic.com/images?q=tbn:ANd9GcSmxFyk23sMpDZOkqi7dgtPFTy-5JYuOTqW-xWwZEQoPFWP4iH3

You know a tree by its fruit. Follow that woman’s life and ministry… That is a woman of God.

Uongo mtupu!

A woman of God?And that what makes of other women?

Hawa watu wanaojituma wenyewe na kusema wametumwa na Mungu,ni watu wa hatari sana…

Ni maajabu mwanadamu huyu kujifanya anajua kilichopo kwenye akili ya Mungu wakati hata yeye binafsi hajui kilichopo kwenye akili yake binafsi!

Ni vituko sana mtu /mwanadamu kusema anajua what GOD is thinking/plans!No one can ever know,it is a plain lie!

Amos 3:7
Surely the Sovereign LORD does nothing without revealing his plan to his servants the prophets

Ni nini maana ya Amos 3:7?

Yaani umechukulia kila mwanadamu anafahamu hicho kitabu kinachoitwa biblia?

I do not subscribe to that text.Vilivyomo humo vinafanya kazi kwako na sio kwa wanadamu wote!

Kwanini wakristo mkiongea na mwanadamu mwingine by default mna-assume na yeye ni mkristo kama nyie mnaanza kumsukumia mnavyoviamini nyie?Kwanini?Na mnajua convincing ni mojawapo wa aina ya violence?

Halafu huyo LORD mbona yupo limited namna hiyo mpaka awe na msaada wa servants?Hawezi timiza majukumu yake mpaka asaidiwe na wasaidizi wake?Ni kiumbe dhaifu sana kama sisi wanadamu,hana u-supernatural wowote!

IF YOU ARE A NON-CHRISTIAN

WE ARE DISCUSSING A CHRISTIAN MINISTER…the christian bible applies by DEFAULT, the alternative is akin to charging a Kenyan, in a Kenyan court using The RUSSIAN constitution. ALLAH also has had prophets so whats your deal? UNLESS YOU ARE AN ATHEIST, you are working yourself up over nothing. LASTLY, I did not at any time force the bible on you, to the contrary, I only showed that you are the one trying to force your religion on the MINISTER in question. I only showed that from the scriptures she believes in, she is well within her mandate!!!

IF YOU ARE AN ATHEIST
If you are an atheist, you do not quite understand your own position…find attached part of your opening dissent

This asserts that it is not possible to understand the mind of God. The premise that God has a mind that man cannot understand is acceptance of his existence… LIKE I SAID a very poor atheist!

Lastly, do not be all smug thinking that atheism makes you smart. It is as much faith based as theism. You do not have evidence for the inexistence of GOD, if you do, humor me. Educate me on the origins of life? I can guarantee you your view is as much faith based as theistic creation belief!

Wakristo wako na mchezo sana claiming to know what God is thinking hao watu hawana aibu

Mkuu Mzichi

Ni kweli mna-discuss christian minister,lakini hii platform ni ya public,mtu yeyote anaweza ongea chochote kuendana na jinsi anvyoona ina-apply kwake.Hivyo sijakosea kabisa kuchangia kwa jinsi inavyo-apply kwangu!Uli-force biblia yako kwangu ulipoanza kunipa quotes zake wakati siitambui kabisa.Japo ulinipa kwa hali ya convincing,ila convincing ni aina mojawapo ya violence,hili unalijua vizuri.

Halafu,biblia yako hai-apply by default mkuu!Ina-apply kwako na kwa wengine wanaoikubali lakini sio public at large!Kinachoa-apply by default ni sheria za nchi/supreme laws of the land na sio some religious text!

Pia huyo dada ambae mnamuita Minister yuko ndani ya her mandate kwake yeye na watu wanaoamini hayo lakini sio kwetu sote at large!Ndio kama hivi,ishu mumeileta public,wote tunaishambulia tunavyojisikia na tupo sahihi,labda mngeifanyia kanisani mkiwa wote wa mrengo huo wa ukristo!

Lebo ya Atheist au Theist ni wewe unanisukumia,sina lebo yoyote!Mimi ni mwanadamu.

Halafu nilipomtaja Mungu wenu kwamba ni ajabu Wahubiri wenu wana-claim kujua anachofikiri…Nimeongea kama thirty-party,an outsider out looking in,kwamba kama kweli huyo Mungu wenu ana-claim kwenye vitabu vyake kua hakuna mwanadamu ajuaye mipango yake,why cha ajabu kuna wanadamu wana-claim wanajua akiwazacho na akipangacho?Kuna confusion hapo.Sio kwamba binafsi naamini kuna Mungu,na sisemi kua hayupo maana sijapata evidence ya either of the two.Atakaeweza nipa evidence ya existance yake sawa.

Kuhusu kua nina faith,umekosea,box la faith kwangu halina kitu,ni empty…Kama zero kwako pia ni faith basi sawa sina cha zaidi mzee!

i concur.

upo sahihi jamaa

KISWAHILI kaka chaniena chenga kidogo smahani.
Kidogo nilidhani kuwa chanzo cha ugomvi na yeye ni imani tofauti. Unapopotea kaka ni hapa, wewe ulimuita muongo kwa imani yake ya kuwa anafahamu mawazo ya mungu anayemuamini. Ulitumia imani yako (ya kuwa mtu awaye yeyote hawezi fahamu fikra za mungu) kuipinga imani yake. KAKA sidhani wafamu maana bayana ya imani. Imani yako sio zero. Infact, una imani kweli kweli. Mojawapo ya imani yako ni kuwa mtu hawezi fahamu fikra za mungu. Hiyo ni imaani! Si lazima iwe dini ili iwe imani ndugu.

Mzichi

Wala usijali mkuu Kiswahili chako ni fasaha sana!

Mkuu wangu Imani yangu ni tofauti na yako,imani yako ni imani bila evidence,ya kwangu mimi ni lazima kuwe na evidence/logic/reason!

Mimi Kusema hamna mtu anaeweza kujua akiwazacho huyo Mungu ni kwamba nimechukua simplistic evidence ya kibinadamu kua ni kweli hakuna mtu anaeweza kujua in real terms akili ya mwanadamu mwingine inawaza au kupanga nini (FACT),sasa iweje ajue ya huyo supernatural being?Nimetumia reason na evidence iliyopo kwa wanadamu hapo sijatumia imani kama zenu watu wa dini!

Ni kweli Imani sio lazima iwe ya dini,ila tofauti ya hizi imani zetu ni kua yangu inatumia evidence au reason au logic,yenu nyie watu wa dini haitaki chochote kabisa,hapo inakua hatari sana!

Ashanti sana KAKA. Nitaendeleakwa kiswahili lakini nakuonya, siwezi kukuhakikishia ufasaha wake. Nitakachotilia maanani zaidi ni mada. Ufasaha au la, nitahakikisha nawakilisha mada kwa njia inayoeleweka.

Dhana yako ya kuwa mwanadamu hawezi kuzielewa fikra za mwanadamu mwenza sio kamilifu. Mfano mwafaka ni gumzo letu siku ya leo. Kutokana na mazungumzo haya, unazidi kuelewa fikra zangu huku nikizielewa fikra zako. Msingi wa imani yako ya kuwa mwanadamu hawezi elewa awazacho maulana basi vile vile sio sahihi kwani msingi huu unabebwa na dhana ya kuwa maulana amenyamaa. Kama unavyozielewa fikra zangu kwa kuzungumza nami, vivyo hivyo utazielewa fika zamungu ukizungumza naye.

Dhana ya kuwa dini haizingatii ushahidi vile vile ina kasoro. Kiini cha imani hii ni kipi? Kinachokupa uhakika huu ni kipi? Lazima uielewe imani yangu kabla ya kuihukumu. Nina ushahidi kuwa kuna muumba; nisingalikuwa nao nisingaliamini! Nimeona ishara zisizoelezeka kwa misingi ya kisayansi; mabo yanayokiuka ufahamu. Nimemwona mtu akimroga mkewe na mkewe aliposhiriki tendo la ndoa na mpenziwe wa kando, viungo vyao vilishikamana! Viongozi wa dini la kiislamu walipowalaani wakaazi wa mombasa baada ya wao kuiba mali ya watu mwaka wa 2007, wengi walifariki huku walivyoviiba vikiwa vimenata mgongoni. Nimeona na zaidi lakini mifano hii nimeichagua kwa sababu ilinakiliwa, na hata kupeperushwa, na vyombo vya habari baada ya kuchungunzwa na kubainishwa! Hivi majuzi aidha, katika taifala israeli, mawingu yaliyojipinda na kuwa duara yalipeperusha nyimbo zilizopigwana tarumbeta. Katika nchi ii hii, wingu jeusi la kuogofya na lenye mingurumo ya kukirihi lilitua katika mpakawa Israeli na kuwaficha wa-Israeli kutokana na majeshi ya Syria! Haya pia yalinakiliwa na kupeperushwa na vyombo vya kimataifa vya habari kama vile CNN, BBC, alkadhalika. Habari hizi zote zilikubalika kuwa zeye misingi ya kiroho kwani hayaelezeki kisayansi. Yatafute YouTube uyaone mwenyewe!

Swali langu, mu-Israeli aliyeliona wingu hilo na kuzisikia tarumbeta zile au mkaazi wa pwani aliyeona nguvu za dini zisizoelezeka; je yeye akiamini, si anao ushahidi? Wewe unayempinga na kudai ya kwa imani yake haizingatii ushahidi, ushahidi wako ni upi?