Nduru za kuaminika ni kwamba Professor J amechaguliwa kuwa mbunge. Alitoa kazi hizi akiwasuta wanasiasa kwa ahadi za uwongo. Tuone atafanyaje atakapokwenda bunge:
https://www.youtube.com/watch?v=pQwk0gjpSGU
https://www.youtube.com/watch?v=FjZUK_L4ZB8
As for the other Jay, yule wa hiki kijiji, I doubt he would be elected to the local cattle-dip committee.
5 Likes
He’s currently heading the upussy committee.
6 Likes
Enyewe I’d like to see what Prof does.
@kyuktothecore
Mkufuu
October 29, 2015, 6:56pm
4
Hapo sawa!..Amepata kura kutoka kindergarten mpaka chuo kikuu, downtown kwa machizi na masistaduu, magharibi mpaka nyanda za juu, kando ya ziwa, kaskazini mpaka eastyzu… Prof Jay sasa ni mbunge mteule wa mikumi katika mkoa wa Morogoro.
9 Likes
Its nyanda [highlands]:D:D:D:D:D
5 Likes
Mkufuu
October 29, 2015, 7:09pm
6
Hehehe hapo kidole kiliteleza…wacha nikosoe Akhsante.
byro
October 29, 2015, 7:19pm
7
Mkufuu:
Hapo sawa!..Amepata kura kutoka kindergarten mpaka chuo kikuu, downtown kwa machizi na masistaduu, magharibi mpaka nyanda za juu, kando ya ziwa, kaskazini mpaka eastyzu… Prof Jay sasa ni mbunge mteule wa mikumi katika mkoa wa Morogoro.
Mkufuu nisaidie na ile avatar ya awali.
‘local cattle dip committee’
Matusi unayo boss…
emali
October 29, 2015, 10:29pm
9
buda naona yule madam wako kwa avatar amejiona kwa kioo akaona ni heri ajitoe huo uso?
MKAMBA WETU NA OSAWHILI :D:D:D:D:D:D
2 Likes
system
October 30, 2015, 12:48am
13
SINA NENO ANKO. NAONA KISWAHILI KIMEPIGA MKAMBA WETU CHENGA.
2 Likes
Dereva
October 30, 2015, 5:32am
15
Hapa kwetu Newton Karish ni MCA
1 Like
WuTang:
Swahili jpg
[ATTACH=full]19533[/ATTACH]
Yaani couldn’t you stop to ask yourself why that word is the only one typed in italics?
WuTang
October 30, 2015, 1:16pm
17
;).Makosa yamefanyika. It has to be pointed out.
I am trying to point you away from ignorance. Lakini ni kama kupuliza gunia.
WuTang
October 30, 2015, 1:55pm
19
Hehehehe. Sawa mwalimu,umetoka kuinvigilate wapi?