PRODIGAL SON

Ktalkers hii hekaya ni true story but hii ndio yangu ya kwanza so ikiwaboo muelewe tu ni NDEFU though…

Nikiwa 3nd Year colle huko umasaaini, nilikuwa na kunguru fulani pia iko colle huko Nakuru. So nilikuwa nikienda huko kumcheki ni lazima twende lodging juu huwezi piga exile wasichana watatu roomates wake exile for a whole weekend (alikuwa anakaa hostel) hiyo time. Hii kitu ya lodging haikuwa inanijenga sanaa…juu am student na sina doo ya lodgo after every two weeks na mahitaji mengine ya kufurahisha dem. So i had to come up with an idea. semister ikaisha tukaenda holiday kitu 2 weeks hivi. ( natoka Bungoma huyu dem kwao ni Mumias)

Nikiwa home nilikuwa nachapa hesabu place nitatoa doo nihamishe huyu dem kutoka hostel tusake hata single room ili atleast nikienda huko nakaa venye nataka. nikatry muhindi sportpesa wapii…mjengo siwezi juu niko na only 2weeks at home. huyo dem ilihappen pia ako holiday n alikuwa anashinda akikam kwetu… my mum alimlike sana mpaka akanisho day moja NIOE huyo msichana… ikafanya pia mm nikampenda zaidi. hata ka nilikuwa na side chics huyu alikuwa mama yao. mrembo na ako na character za wife material. nikaona future iko bright. yeye alikuwa 2nd year by then.

After 2 weeks nikapewa 30k ya school fee na pocket money kiasi nirudi chuo, it was on a sunday. Tukapatana na dem bungoma town juu pia walikuwa wanaopen on tuesday. sisi hao north rift tukielekea naks. ndio mm niunganishe baadaye hadi narok. mapenzi ni noma. kufika naks tukasaka room juu bado chuo yao watu hawajaanza kureport.

Tukiwa tumetulia room after kumfikisha threshold kadhaa…kitu from nowhere ikanikumbusha niko na 30k cash. that was beginng of my downfall. nikaambia demu kimchezo tusake nyumba asiende hostel tena…to cut story short tulisaka keja …nikalipa 8k. 4k ya deposit na rent. nikabuy bed, matress, gas, vyombo kila kitu kwa keja. nilibaki tu na thao moja kwa fee na 2k ilikuwa ilikuwa imebaki kwa pocket money. Tukaingiza nyumba nikabariki kitanda kwa siku mbili mfulilizo.
on third day i left to narok. kufika chuo lecturers wamestrike …nikavumilia for a week n i was broke nilikuwa tu na soo 4 imebaki. so hiyo siku kitu saa kumi jioni idea ikanistruck si uende naks usuprise wife. na hapo hapo nikaamua kuchukua my few clothes nikaeka kwa bag nikatoka kuishia naks. sikuambia kunguru naenda. nilitaka tu nimsuprise. gari ilijaa 5pm fare ni soo nne hadi naks. meaning nimebaki zero. nikafika naks kitu 8 usiku.

kufika kwa kunguru, nikachungulia kwa dirisha…nguvu iliniisha. mifupa ikataaa kufanya kazi…but sikuanguka. kuna dume ilikuwa hapo kwa kitanda yangu na vest na boxer nashuku ilikuwa ishafikisha threshold. kucheki my wife to be anapika amevaa shirt ya huyo msee solo…nilishidwa nifanye nini…nikiingia niamshe vita place sijui poa si idea poa naeza pigwa na jeshi. nikanyenyekea nikaknock…dem kufungua mlango karibu afaint…nikahumble nikaambia demu ka anaeza niokolea na doo niende nilale lodgo tutabonga kesho huyo msee akienda juu honestly singelala hapo na sikuwa na doo any. demu akasuggest atoe huyo msee nilale huko but calmly i said NO. but machungu na hasira inaboil tu…fee imeenda tu hivyo. demu alikuwa na 1200/= akanitumia nikamsho naenda lodgo tumeet kesho tusolve.

mnathink nilienda lodging ? huh. No. Mm huyo nikajua siezi rudi narok venye nimesota. nikaamua kurudi nyumbani bungoma…prodigal son sasa. nikawait kina mvumilivu au matunda bus nitandie wapi ilikuwa kitu saa tatu inaenda saa nne. bahati nzuri trailer ikakam inaenda border uganda. huyo msee nikampa mia tatu ya lift. manze machozi ilikuwa innatoka tu yenyewe…akaniuliza mbona nalia…“nikamsho naenda matanga babu yangu amedeady” akasema pole na nikaendelea kulia.

nilifika home kitu saa nane hivi…nikaamsha mum anipe key ya keja yangu nalia tu. akaniuliza nini nalia nikamwabia “mum kitu nancy amenifanya, acha tu” mum akanisho achana nayeye wasichana ni wengi na hakuwa anampenda hata…na ukikumbuka alisema nimuoe. nikaenda kulala …but sikulala…morning niliambia mum…sikuwa nalia juu nancy ameniacha…ni fee nilitumia kubond penzi letu liwe strong. Nduru mama alitoa…na kukol mzee wa boma. …venye nalisha malaya na fees. Nancy alinikol the next day but unajua mwanaune ni kukubali hasara na kulearn. anyway nilirudi chuo nikastruggle nikamaliza …sikuwahi pewa fee tena…Ni hekaya tu kivyake. NANCY ULAANIWE NA GENERATION YAKO YOTE.

A very sad hekaya.

Kunguru akiwa campo unakula ukienda next.Unararua mabeshte wake wote hadi marela ikiwezekana

hehehe mbona hungechukua nyumba wewe mwenyewe dame akue anakuja kwako Narok? ama ukue unamuendea (umesema mapenzi ilikua mingi). The pain would have been less severe na ungekamua makunguru hapo to ease the pain afterwards. anyway, you learnt your lesson.

ile ujinga wanaume hufanya juu ya coomer…izza mblo

we will revist that in future…
pole manze…uko bado na namba ya Nancy btw?

It is painful to lose a woman, very painful to lose a woman together with your money, and extremely painful to watch a woman enjoy your money with another man.

ile kitu imemaliza wanaume zaidi ni coomer followed closely by betting… plus we’re motivated to bet to get more for more coomer

Iza bro!

[ATTACH=full]168373[/ATTACH]

Pole sana

Avicii the kivisi mambo vipi kaka?

Wakanyama stick to your lane

:D:D

Hio ndio inaitwa kupoteza bet

hahahahah men we got problems mwanaume nikupitia mengi
it just reminded me how I lost my cash through betting.
1st rule in campus no love ni kukamua ukienda next

[COLOR=rgb(247, 218, 100)]at least you didn’t commit suicide

Ndio mana huwa sipendi ujinga za surprise. Anyway shit happens, only resilience counts

Was about kuacha fombe tena but wacha tu niendelee na ulevi. Mambo ya wanawake sitaki

Pole sana.
A good read… Kwanza how your mum alipiga nduru akasema umemaliza pesa na malaya wako, classic! :D:D:D:D