3 Likes
These houses are decent. Otherwise they can rent outside the prisons if they can afford
2 Likes
Decent aje?
Every door accommodates 2 families, That is a space of 4mX5m =20Sq M for two families to share 10 SQ each, katikati ni pazia. Mmoja akikula urodha mwingine na watoto wake wanasikiliza masauti.
2 Likes
I used the information you shared. Hukusema 2 families wanaishi kwa room moja. Kama ni hivyo it is bad. But same time si i thought gava ilipatia all officers house allowances.
1 Like
In 2001 nili stay kwa my bro pale police line. Keja ilikuwa three bedroom. Waliishi makarao wa tatu kila moja na room yake ya kudoz but sitting room na kitchen tulikuwa tuna share. Nilikuwa naboeka nakaa side ya jirani na watch movie, nikiboeka naruka side yetu. Sikuona shida nayo juu wote walikuwa vijana.
For bachelors it is OK, shida ni kukiwa na wake na watoto kwa space ndogo hivo
2 Likes
Huwa hawafai kuishi kambi na familia zao…juu pia huwa wanapewa transfer after every three years.