Pressure za kununua appliances

Kuna msee amepewa pressure na manzi yake vile lazima anunue washing machine na ploti anaishi maji ni shida. Ata fridge huzimwa juu haina kitu :joy:

7 Likes

Mrecruit kwa mission zako apate pesa.

11 Likes

@Yuletapeli @Mimi_Huwa_Namwaga_Nd sasa hawa ndio hawafai kuoa na kuanza family juu it will ruin the jamaa financially forever.

2 Likes

Manzi ovyo kabisa next kijana awe pressured achukue loans ya parental thanksgiving ya mama yake.

8 Likes

Let him ask her if they have one in her father’s house

7 Likes

Niko na mbili kejani. Kama anadai niko na fulani mbichi ya mika nliwai kama gift na haitumiki. Akiwa na 30 hatuesi kosana. Kitu mpaka na warranty

4 Likes

Women are responsible for more than 70% of household spending despite contributing less than 40%.

Basically husbands make money and wives spend it. That’s why adverts mostly target women.

Kwa hivyo if you are married utasota haraka sana if you cant check your wife’s spending habits.

6 Likes

Sai washing machine ni need basic sana…i see no reason why he shouldnt buy it…alafu mwambie ahamie huku kangemi hatukosangi maji

6 Likes

Huyo Manzil yake Ako sawa sana. Washing machine ni muhimu sana, to save them time and energy si Kila saa kufua. Fridge pia muhimu sana, pika food mingi weka stock ya fruits and vegetables hapa una save Doo pia na time ya kuenda market but juu kijana ni MGTOW material anaona hasara heri aende kwa kibanda akakule matope na takataka

7 Likes

Mahali Kenya iko, fridge, washing machine, telly, internet na gari ni necessities. Oh na telephone pia.

Huyo jamaa beste ya OP awache maneno ya marriage kabisa. Bado he’s not ready. Difference between Marriage na entrepreneurship is that entrepreneurship Kuna faida kimfuko. Zote zina engage mtu vibaya sana

1 Like

Not if he is bankrupt. Mbona mnaignore the fact that the guy analia juu amesota?

5 Likes

Some men are too blinded by pssy to see obvious red flags.
Kama manzi haezi tosheka na life enye unaishi right now dump her expeditiously, that’s a social climber who’ll monkey branch the minute a “better guy” comes into the picture.
Anyways he’ll learn this lesson the hard way

9 Likes

ina kausha nguo ??

Fridge haina any maji ni shida so we assume pia nguo ni chache yet manzi anataka soft life ya influencers wa tiki tok then parapet waje cleaning.

1 Like

Not really, ni jamaa ajikaze awache kuishi na mashida mingi.

Ni manzi ata si bibi kidogo wakosane njeri afagie nyumba.

Kwanza MGTOW hafai kuonekana kibanda kama yeye ni mtu wa tizi na health. So pia yeye ana need fridge, washing machine na microwave.

2 Likes

Sasa hio ni blunder, anafaa kuondokea hio relationship juu itam drain. Acheze na pace yake

3 Likes

Eeh iko na spin cycles tofauti fro. 400 to 1000 ukieka 1k inazungushwa inatoka kau kau