Presidential Debate - media still hopeful

Debate inaanza sangapi?

Ekuru ako na Bibi msupuuu, dry fry material.

1 Like

Inakaa marrying shiny eyes ladies ndio starter pack ya siasa.Aukot ameoa mathenge , Wetangula pia ako na pipi ya kutoka cendro hata kama huwa anamlima nyeri style

3 Likes

Hussein Mohammed ndio the only serious moderator hao wengine ni kizungu mingi hakuna kitu

2 Likes

Hapa farasi ni wawili, debate or no debate. Camps ni mbili: UOTP vs RWNEBP… hawa wengine ni supporting cast.

probably 1730hrs kama last time

1 Like

Prof Wainaina pia ako Na wife kituuu

He said today morning on Jambo radio that if uhuru is not going to attend, he would not attend too

1 Like

The debate is very boring, ile one man guitar ilikuwa more interesting.

Raila ako live on ghetto radio

Hii debate inataka msee akiwa na chang’aa.

:smiley: :smiley: :smiley: anabonga sheng?

Miguna Miguna has just said what I thought, hawa watu ni bure! Ati Kariara, the running mate should be the candidate instead of the one who showed up today.

Baba amefika. Wacha tuone akikoroga Kamwana kwenye kisungu …

Kile kimtu kimefika

1 Like

atadebate Dida… sijui kama Ouru atatokea. Kina Madowo si wamefurahi kitunguu imenukia

1 Like

Kwanza huyo mathe amenice sana

Heshimu Baba

Kwa ni amemulea ?ngombe

Muthamaki atafika kweli aki he better not fail us .RWNBP