Maze leo hapa Egerton Ngongongeri Farm sisi peasants tumepata fursa ya kujumuika na kumwona rais wa Jamuhuri ya Kenya. This guy amazes me because of how he is always relaxed [ATTACH=full]142505[/ATTACH] [ATTACH=full]142505[/ATTACH]
Kingman in the jungle
Jamaa naona unafunza DAST
eka mbisha aki spin mercy Ferguson
Security wake walikataa a spin hizo John deer na Massey Furgerson
@Lecturer the guy isn’t new to power. Ngoja peasant iingie house on the hill, tutajua hatujui.
@Mwalimu wee uko wapi ??
President Uhuru is always like that.
If Uhuru wants to dribe a tractor, he will spin that machine like a boss.
Mercy Ferguson ni mtoi wa yule ferguson mmoja wa Man U?
mjinga
I reckon my aunt telling me uhunyee akiwa mtoi used to go to farm ya kahawa na ma biscuits anawapea. he started as a peasant VS
Wanking material for Jubilidiots [ATTACH=full]142523[/ATTACH]
I like farming and investing in construction sector . .hapo kwaright and kihingo sana sana
iko wapi mbisha za ploughing contest?
Naona hapa wasee wako on their knees ile mbaya…
‘This guy amazes me
because of how he is always relaxed.’
Ni hali ya kulelewa bila mashida.
Hapa tu Egerton, nipate ngongongeri kesho
Wacha niweke thread hapa
unda mpya
Iko hapo General nimeweka, though picha sio mingi sana, nimekuwa held up kiasi