Serikali imefikia maamuzi ayo kutokana na ukosefu wa pesa za kumalizia miradi mbalimbali pamoja na huduma za afya kwa wajawazito na watoto. Ivyo ili kuepuka kuomba mikopo wameona bora wauze akiba ya DHAABU ZA TAIFA.
Yote aya nikutokana na jeuri ya viongozi wetu,
sasa kama wanaanza kuuza akiba za Taifa pesa zikiisha watauza nini na wamesha zoea kula bata kila siku. Amini nawaambia tutauzwa mpaka sisi au figo zetu maana wala bata wamefulia!
Mikopo hakuna tena, watu wapo busy na vita huko. China hatoi pesa ya mkopo yeye anataka umpe kazi apate pesa.
WALE MACHAWA PALE BUNGENI WOTE WAMEFUATA PESA, UNADHANI MIRADI ITAKAMILIKA KWA WAKATI.
Tanzania produces alot of gold and interestingly their gold mines are only 10 km from the kenyan border hapo migori. This means there should be massive gold hapo migori coz the rock formation is the same with tz.
Uganda is also mining gold right on the border hapo next to busia.
If your neighbours are mining gold upto your border it means you should stop being an idiot and also start mining across the fence on your side. The boundaries are artificial and the gold rocks hazitambui.