Preparing dinner for parents

@GREY2020 wewe inakaa hata kwako hua huingii jikoni:D:D
You just made me realise that I take so many things for granted…like cooking for my folks…I do it all the time and here I was thinking its a very kawaida thing to do…lazima you have many sisters

Muzee hua ni stubborn ya kizee, nikisema nakoroga msosi, he is to do it, amezoea maisha hio wen b4 retiring. Sasa am telling him its my turn, he’s done enuf. I.e. bills za electricity na water zimekam,.and he says am going 2morrow to pay them, namwambia dad doct says usitoke ndio amerialize, and.he is still stubborn. Had to.take them.bills and.hide them 2morrow i.go miselfu to pay them.

@kanguthu bado unauza mkia hii githaa? Hujotosheka kutombwa na @Wanaruona your beloved?

hizi bill funza mzazi kulipa online , mpesa

Great job there.
I wish them both a quick recovery.

Quick and full recovery to Mum & Dad.
Good job. Ka balanced diet & keeping them company goes a very long way…hizi mbili pia ni dawa kivyake.
God bless you and your family…awalinde, awape nguvu na afya njema.
Barikiwa.
You dont know the value of what your doing…usichoke…endelea na moyo huo huo.
Nawatakia kila la heri.

Kaino gaka,when I give you freedom kidogo you start hawking yourself to every Tom,Dick and Harry…

Maliza hiyo.mlevi ya Kenol,lakini usi judge yeye his.mind beats btn Chang’aa,mung’etho na kuiba ovacado

I hope your are easy to.convince to change their ways.All the best and may they get well sooner

@administrator mbona hakuna emoji ya clapping. Shughulikia hio maneno.
@GREY2020 kudo for the great job.

Kazi Safi bro

@GREY2020 nakupa wosia wa akina babu.
Kuna wakti nilikuwa kama wewe namwambia mzee atulie ntalipa, awache ntafanya kila kitu na baba zangu wadogo wakanikalisha na kunieleza.
Kuna mazito ndio nimsaidie babangu lakini mengine nikae kando.
La kwanza ni babako hatawacha kuona wewe ni mtoto na majukumu yake hayaishi duniani haswa mambo yake ya nyumbani usiingilie kama ana uwezo.mwache atembee akalipie kwa sababu kwa dunia ya leo hiyo ni njia yao ya kupata afya zaidi maanake njiani wataamkiana atapata kupiga tizi na pia kiakili na kimawazo na kifikra ataweza kuona hajaghafilika,bado ni mtu kama wengine.
La pili mwache asmamie mambo nyumbani pia ila sio mazito tu, mambo yatakayomfanya ajiskie Dume. Kaa kando na ujishikilie kwa sababu itabidi uwe na subra ya hali ya juu sana. Utamwona akibadilika sana utakapowacha kumwambia atakavyofanya kila kitu. Ajiskie amejismamia pia.
La mwisho.kumbuka ndio njia yetu sote na kila mwanaume anataka asmamie nyumba yake nawe pia utakuwa hapo siku moja. Kusaidia hakuna ubaya lakini tutumie ustadi tu maanake mambo mengi ya wazee na ubishani hutoka kwa kuonyeshwa hawawezi tena.

You always have to bring your stupidity to every thread you freakin loser.

Peleka ushoga wako mbali. Saa zingine it’s best to shut the fuck up if you have nothing positive to add to the discourse.

Your dad should have really pulled out or used a condom.

Thanks bro.

Thanks a bunch bro.

Na si umekasirika akiiiyaoo aiii…don’t let this platform stress you up

I wish quick recovery to your parents. God will see them through

Thanks brother for your prayers. Ubarikiwe ufunguliwe more doors of happiness to you and your family.

Am always trying my best to convince her and she is listening mdogo mdogo na tunaendelea nao vile tunavyoeza.
God bless you bro.

Brother sina maneno yatakua enuf kwa kukushukuru for all what youve said. The only i can say nimeeka maneno yako kwa kichwa changu, ubarikiwe wewe na familia yako na akukinge na lolote baya leo kesho na daima.