prediction kings

:smiley: :smiley: apo sawa

mimi leo nimebet hii

27 Feb 16:00 GER 3. Liga
Dynamo Dresden v Fortuna Köln,apa nakula na kijiko nitakushow ziki iva :slight_smile:

na hii ingine …apa nakula na ile kijiko kubwa :smiley:
27 Feb 16:00 JOR Manasir Pro League
Al-Wihdat v Al Hussein

nikupe paybill sasa?

rusha inbox game za leo ziki ivana lazima upatee ka half gilbeys

hapo kwa real, atletico muliamuaje

Hii ya Derby naona utalilia choo

niko kwa pub saa hii na nitakupea paybill number ya hio pub so kama utaeza urushe tu saa hii yenye uliahidi

Game ni 90+. Until then… Wacha @Tommy Lee Sparta akaze muscles…:smiley:

Ya Derby imekataa

Akuna mtu anaekea Bayern? :smiley:

Game inaanza in 3 mins

@hakimoto iyo nimeweka real watawin iyo ata sio kubahatisha

@ Grundy hii imenikataa lakini ya westham nimewai no worry bado kuna game zinakuja na chapa

@Fala 12 niliahidi na lazima nitabuy usiworry kaka

@123tokambio nimekaza yangu yote derby imekataa thou west ham imenifanya favour :smiley:

2 Likes

na vile walienda 1-1 nikapataa hopes :frowning:

Mbisha ama ni hekaya

haha kaka tulia siwezi kuenjoy apa hakuna mchezo

vix tunabuy na izi chapa za betting

[QUOTE=“Tommy Lee Sparta, post: 360579, member: 306”]
haha kaka tulia siwezi kuenjoy apa hakuna mchezo

vix tunabuy na izi chapa za betting
[/QUOTE

I now realize you are toothless. You can’t bite…hehehe[/QUOTE]

Sunderland imeniangusha. Nilikuwa nimeeka GG hiyo game…wacha ningoje leicester na Real…

sawa boss. nime inbox

fans wa real madrid poleni:D:D:D

those who bet against chelsea poleni:D:D:D:D

leo @junkie ako mbele
so far 3/4 correct
waiting for ac milan vs torino

Niliwashow hiyo game ya Chelsea waeke OV2.5

1 Like