Good people,
No jams nairobi…
Went to Uchumi hawajapika zile vitu mi hunywa nayo breakfast… The shelves are extraordinarily empty
Na nimesoma hapo chini ngumu imeisha estate.
Watu wa mashinani…Tupe habari, watu wa jiji wameanza kuflock ama hii watu wanameenda wapi?
Tumaini nimepata wamepika vitu mimi hula for breakfast, narudi jioni kununua za kesho
Apan tambua, Niko village busa tu ndio yangu.
mwoga…umehepa town na kura?
Kura yangu iko Kanduyi D.E.P.
Mtaani wauzaji vitu kama nguo, mbau, hardware etc, wamefunga, generally. Walio wazi wako busy wakihamisha mali zao. Lakini watu wako tu. Hakuna kelele, yaani kumetulia in an eerie way!
Nyinyi with Wa kanduyi ndio set this precedence in the senatorial race sasa with Wa ODM wata vote a pic in the name of sifuna coz hawajai mwona
Nimetoka CBD, hakuna watu. Even River Road and Kirinyaga Road were empty. Wah! Saa hii niko Kirigiti…at Jirani county pharmacy
[ATTACH=full]117511[/ATTACH]
fixed
Mono ballers should be away from the epicentre of action just in case any arise