Major power blackout in Bamburi, Kiembeni, Shanzu, VOK, Mshomoroni …etc in Mombasa since 5 pm.
:meffi:
Lipeni stima, tena mko karibu na ocean tafuta wazito kadhaa mkaeke turbines
Why complain about a blackout na mnaeza enda ocean!?
Tunakukalia watu wa stima?!
Can’t relate,i was in Mombasa earlier in December for my holiday kabla peasants waanze kukojolea indian ocean
si uweke solar panels?
250k
Iza joh Mimi in my hood Kila Sunday kuanzia 9AM-6PM lazima Kenya power and darkness company wafanye “routine” maintainance I mean for the last 4months! Hata tumezoea, Naona pia wameanza Tuesday nights!!!
Ata sisi electricity got lost on Christmas day for several hours
mimi na iyo giza narudi kwa nyumba alafu kufuli ya plot inajam…ilibidi tuvunje mlango niingie