How much do you pay to Kenya Power monthly…
[ATTACH=full]186239[/ATTACH][ATTACH=full]186238[/ATTACH]
Deni ya SGR lazima ilipwe kâri kii. Nabado
Hawa wapumbavu wanaringa kulipa bill kubwa kubwa na zile pesa wametuibia!!
Sa ndio mse alipe 220k ama ni wale wako na heated floors thats the only way it makes sense
Kabogo tuko sure ako na cocaine lab kwake, so sielewi anacomplain nini.
weuwe …
Kabogo amesema watu waendelee kukamuliwa bila lube bila…
Mtu kama Muite mwenye akona solar aishi offgrid kabisa tuone kama mikora za KPLC wata disconnect jua.