Tafuteni pesa elders, otherwise mtatumiwa kama mkamba wa Kibwezi Mwengi Mutuse.
Mtatumiwa kama ile duster ya kupanguza sakafu, enye huwa na maana wakati wa kuondoa uchafu, na io kazi ikiisha, inaanikwa huko kwa fence
Tafuteni pesa elders, otherwise mtatumiwa kama mkamba wa Kibwezi Mwengi Mutuse.
Mtatumiwa kama ile duster ya kupanguza sakafu, enye huwa na maana wakati wa kuondoa uchafu, na io kazi ikiisha, inaanikwa huko kwa fence
Sadly. The system is designed for 90% of the people to be poor so that they can serve the few rich. Wewe ukijua njia ya kuomoka unaomoka peke yako. The moment unaonyesha ghasias kwenye unatoa pesa they copy and ruin it for everybody so your idea stops working.
We can all live in a better society e.g developed nations. Lakini perish the thought of everyone kuomoka juu that’s not how capitalism works. There has to be winners and losers in this game called life.
Mkiomoka nyinyi wote nani ataosha gari yako weekend?? Nani atakuserve kwa hotel?? Nani atakuosha rungu weekend kama sio daughter wa fukara mwenye hana pocket money?? The system would collapse if everyone got “rich”.
Seeking wealth is a personal journey…not a communal one. My shilling is worth less if 1 million other Kenyans also have a shilling.
Kumeenda aje?
Scarcity gives money value
Exactly. Your loss is someone else’s gain. Money just changes hands so it is extremely hard to get rich without making other people poorer. If you hustle 1 million, you have probably made 1000 people poorer by 1k each.
Sani unataka kusema @perdition ni Mwengi Mutuse juu yeye ndio the only man from kamba land kwa hii kijiji
Gaines, hizi ideas za finance unatoanga wapi kaka, share some book titles (PDFs where possible).
itabidi ajitetee na a denounce huyo mtu tujue hawako related,
The grim reality of capitalism and they lie to you that the market will solve everything. As Americans say, greed is good. Henry Ford did not build cars because he was touched by the pain of people having to walk to hospital or market
Ata mimi nashuku. Huyu ni ule Mutuse who was Kivutha Kibwana:s Chief of Staff?
You take your proverbs and shove it up your ass
No government plans to build an economy by making citizens rich. The aim is always to build a big middle class, the skilled worker bees that create and maintain the wealthy and consume the products and services owned by wealthy 1%,; and pay taxes to sustain the government. The upper deck 1% do not pay taxes