Posta siku hizi walianza ukora ama nini? Unalipishaje mtu 180 for passport collection banae. This is broad daylight thuggery. Yaani unalipishwa kuchukua passport. Ni kama kuenda kuchukua DL pale NTSA alafu unaambiwa utoe 100 for collection. Kenya nayo kila mtu anataka tu pesa yako. Saa hio kuna mtu uko immigration naye amekuwa akinizungusha ati passport yangu iko printing tangu late October hadi wa leo. Akaniambia siku passport itakuwa ready ntatumiwa sms. Hii Kenya nani atakutumia sms. Ushaitumiwa sms ati ID yako iko ready? Leo nikiwa mjini nikasema wacha nifike immigration nione vile kunaenda.
Kufika huko naambiwa passport iliprintiwa na ikakuwa delivered to posta on 9th last month. Saa hiyo nakumbuka nikiambiwa ati passport yangu bado haijaprintiwa nikacheka sana. Hii Kenya yetu ni noma. Kuenda posta huko city square naambiwa nilipe 180. Sasa hii ni shetani gani? Nikasema sawa nitalipa 180 ni pesa kidogo. Kuenda cyber hapo kando tu naambiwa nitoe 50 ya cyber. Sasa hii ni bangi gani tena? Nikalipa tu si ni pesa kidogo. After kulipa nikangoja kuitwa. Nikatumwa counter flani. Uyo madam akaniitisha ID nikampea alafu ananiuliza nisema jina yangu. Sasa shida gani hizi tena? Nikamwambia madam soma vile imeandikwa kwa ID. Akajam kiasi akanipea passport. Nikatoka hapo kama nimejam vibaya sana lakini nikafurahi juu passport iko mfukoni.
Na niwaulize does a Somali own Posta coz everyone who attended to me was of Somali origin?
Yaani you came all the way from chuka to nayarobi kuchukuwa passport. …hio safari ni mrefu. Services za government huwa zinaudhi sana. Ungetuma mtu ama haiweskani.
Not a single message was sent to me. I have no idea how it ended up huko posta. Mtu nilikuwa napigia immigration alikuwa ananiambia inaprintiwa. Jana kuenda tao kuulizia naambiwa passport ilitoka kitambo sana 9th last month na iko posta. Niliambiwa ntatumiwa message lakini wapi ng’o sikuiona.