[ATTACH=full]494768[/ATTACH][ATTACH=full]494769[/ATTACH]
I won’t be shocked to hear this is the new trick con people are using.
Not long ago mwingine alinibeba from Homeland to my destination, alipofika asked me to cancel it nimpee the said amount tukifika since Ako na shida. Kufika kasa ndo hyo simu the caller was crying eti ameshikwa na uchungu akakimbizwa hosi and they need 5k to save the mum and the kid since she was pregnant… akaniambia mbele nyuma Ako na 2500 na Hana mtu wa kukopa or kuomba , I told him angojee nifike home nimpee Ile nitapata Kwa nyumba… from kasa to njiru he had been called more than 10 times Nika sense danger… Mara ya kwanza alikuwa amesema hosi Iko kitengela ( after kufika njiru I remembered a Dr najua huko nikamwambia anaweza saidiwa na a Dr I know from there)… alisema wamekuwa transferred to emali