Population ya Kenya ni 80 million?

ama Ruto anatuona kama matako yake?

Kama watu over 21 million wameregister kwa SHA, na kila mmoja ako na 4 beneficiaries, na bado wakenya wote hawaja register, tuko wangapi?

Kama vile Ruto amesema, wakenya 45,000 wanaregister daily, io ni number mzuri, kwa nini moses kuria anacheleweshewa mshahara akiambiwa hajameet targets?

1 Like