Nani mwingine amekodoa macho kama popo? Je wafanya nini usiku wa manane?
[ATTACH=full]14979[/ATTACH]
Nani mwingine amekodoa macho kama popo? Je wafanya nini usiku wa manane?
[ATTACH=full]14979[/ATTACH]
ni mimi. nasoma post yako…
WACHA KUTYPE KIKAMBA
Mimi nimepitia tu katika raundi zangu mwenda kwenye kijiji. Night running in the village paths is fun…no one to bother me
Macho yamechoka kabisa asante lakini.
@gashwin wewe ni supporter wa chelsea? I might be joining you soon
http://i.dailymail.co.uk/i/pix/2015/09/11/01/2C16A3D500000578-0-image-m-49_1441929787290.jpg
@Mundu Mulosi is it true ati night runners hunyambia milango za watu usiku?
ENDA KWA CHOO MADAM
GROW UP. SAITAN
Kwa ufupi unataka kumaanisha Mundu ni Night Runner? :D:D:D:D:D:D
Urongo yako.
Mi niko hapa nikisaka unga.
:D:D:D:D:D
karibu, it’s the greatest club in the world, on and off the pitch…
he he, kijiji hakisahau, wala hakipotezi nafasi ya kukumbusha mtu embarassment…
sasa sweetie…ebu niite shetani ni furahi
:D:D:D:D:D:D:D:D:D
Anko @uwesmake si unaona watu wa bandos za ofisi wamekuamkia
hehehe…
saitan talks to their fellow saitans.
uwes=carbon=unicorn.
i am trolling si hapo ndipo kijiji imefikishana?
Kwa upana “mundu mulosi” means “night runner” in luhya language… @Mundu Mulosi can correct me if am wrong. So @Unicorn that explains why @uwesmake is bitter when you mention what they (read Uwes and Co.) do coz as the say you cant take a person out of the village and not the village out of someone… Am sure milango za nyumba huko kayole ziko na skid marks za minyambo courtesy of you know who…